Rumi
8:28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na
wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi
lake.
Kusudi la Mungu kukuokoa ni ufanye KAZI pamoja naye ili
akupe Mema ya Nchi, kwa muda mwingi sana umefanya kazi zako wewe
mwenyewe, wakati mwingine umefanya kazi za shetani. Kwa ujumla Mungu
amekusudia MEMA kwa kila ALIYEOKOKA na Mema haya yanapatika kwa KUFANYA
KAZI. Bila kufanya kazi na Mungu huwezi kula Mema ya Nchi, yaani Utajiri
aliouweka Mungu hapa dunianimmm
No comments:
Post a Comment